Apr 7, 2012

IT'S HARD TO BEALIVE REST IN PEACE KANUMBA

                                                                                     

                                                        Marehemu Steve Kanumba
                                                          
                                                                          LULU
                 Haka katoto lulu jamani kamejiweka kwenye matatizo makubwa mno
sijui atajitetea vipi hapo Mahakamani ,kweli lakuvunda halina ubani,kuangaika kwake kumeishia hapa.
Lulu inasemekana ndio chanzo cha kifo cha Kanumba kwa madaiwa alimsukuma na kujigonga kichwani kwa nyuma na kusababisha kifo,kama mungu alipanga kanumba usiku wa jana
afe basi angekufa tu hata kwa style nyingine imeniuma sana sana ni ngumu kuamini.
vyombo vya habari zinasema lulu alishakamtwa nasasa yupo chini ya ulinzi
inasemekana alikimbia baada ya kuona kanumba kazirai!
Rest in peace kanumba.

Next week tulitegemea kumuona lulu kwenye kipindi cha Mikasi na akakana
yakwamba hana mpenzi ila Mungu kaamua kumuumbua kwa namna nyingine
kumbe alikuwa na mahusiano na marehemu Kanumba sasa ulimwengu
tumejua ameumbuka vibaya NINGUMU KUMJAJI JUU YA KIFO CHA KANUMBA
KWANI HAKUPANGA KUFANYA LILIOTOKEA NI BAHATI MBAYA.
HII CLIP INAONYESHA ALIVYOKANA HANA MPENZI.

8 comments:

Anonymous said...

mwanamke bwana acheni aitwe mwanamke yani lulu kumrubuni kanumba kwenye penzi na mpaka kumletea kifoo huyu dogo noooma

Anonymous said...

R.i.p kizuri hakidumu daima

mirium said...

alikuwa analipenda neno la mungu na amefariki siku ya pasaka mungu akulaze pema peponi

Anonymous said...

inasikitisha kifo kimemchukua hajaacha copy yake duniani gone soo soon r.i.p great kanumba

Anonymous said...

kweli lakuvunda mtoto mdogo keshaingia kwenye list ya uuji sasa atanyea debe kama kweli hii inshu pumbavu zake

sweetie ga jackie said...

goshhh nani alileta kitu mapenzi,wivuuu na kitu simuuu hivi vishaua watu wengi soooo young the great mungu akulaze pema peponi

kokusimah said...

Tarehe ishapangwa hata km Lulu hasingekuwapo sekunde ingetik angeondoka mtu anakufa kwa tarehe jamani Lulu hajampa sumu na inasikika yeye USO una maharama Naye kapingwa kwa nguvu zipi alizonazo Lulu? R. I. P Kanumba. I was shoked niliposikia radioni wakiisema katangulia. But all in all tujifunze kitu binadamu Kila siku fitina na unafiki matusi utadhani tutaishi milele. Penzi Lao lilikuwa bado la Siri hawakuwa tayari kulifichua tusiwalaumu kwani mtu Ana haki za kutangaza au kuficha uhusiano wake wa kimapenzi.

Mdau Norway said...

mshtuko wa moyo ulinipiga na huzuni mkubwa yani kanumba kamfundisha lulu usanii,akamkuza kisanii kumbe akamfunza na mapenzi tena mungu wangu mwishowe lulu kampa shukrani ya kumpa kifoo ulale pema peponi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...