Tyra awafukuza wafanyakazi wake aliodumu nao zaidi ya miaka 7 kwenye show yake ya American next Top models aliandika kwenye facebook page yake ''Thank you for all of our years together on America’s Next Top Model,” Working with you is always an absolute pleasure. Excited for what the future holds for us.''.sasa hiki kipindi bila miss J,Nigel na Jay kitabamba
kweli! Tyra kwa drama tu.
No comments:
Post a Comment