Mar 9, 2012

UTOTO TABU

HAWA WATOTO WAMENIFURAHISHA SANA LEO LMFAO.

DAR LIVE NI UWANJA MPYA WA BURUDANI HUKO MBAGALA
WATOTO WANAMICHEZO MINGI, WANAMUZIKI WANAFANYA
 LIVE SHOWS,  PANAJAAE ALIEPLAN HII KITU HUKO
MBAGALA ANAAKILI ANAMAKE MONEY LIKE HEEL 



DAR LIVE








WATU WENGI BALAAA THE GUY IS REAL MAKING MONEEEEEEY

TID NDANI YA MBAGALAAAAA

2 comments:

mamaloshi said...

mmmmm kazi ipo @ila ndo mwanzo watatoka tu kujiamini ndo ngao .nimechekaje .mana uko kote nilipitaga .mitaahiyohiyo wamenikumbusha mbali .

Anonymous said...

uwiiii hapo balaa unakwapuliwa pochi ivi unajiona mie akuuu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...