Makubwa yanakufanya ujihisi comfortable.
Mommy j ,I got my star star blouse ,with funky high waist leggings
&colorful heels.
mange rocks hers with pencil skirt n Cl black high heels
kiki rocks polka dots blouse with black leggings , colorful heel
Jackie rocks hers with floral print long skirt
kim was spotted too with red blouse.
we got the black one here matching with red.
style yake inapendeza ukichomekea naona wote tumechomekea lol!
ujachelewa mumy kajichagulie nawe ukiweza unitumie
picha tuone ulivyopendeza
ciao
5 comments:
jully hiyo blouse pls niambie mzigo wa wapi huo mzuri mno
mmpendeza wote hadi raha
kumbe skirt za kubana chini ndio za itwa pencil skirt asante mama b leo umenitoa ushamba
kiki bwana hakoseagi
Ulinoga mama Brandon, chezea weye. Tupe tupe
Post a Comment