Mar 27, 2012

ITS ALL ABOUT NEON YELLOW -SPRING-SUMMER COLLECTION 2012

Neon yellow ni new collection ya spring -summer kama unapita madukani utakuwa
umeiona inavutia umwonampo mvua kaivaa kama hapo Jlo kaivalia na pump za pink
wat a look gal!


haya wale wa kucha kuna neon ipo, lol kuna muke ya murundi moja inapenda kucha
huwezi kuta kucha zake chafu kila collection ya rangi anaitendea kazi.


neon pumps
hapo ndio penyewe skinny jeans ya neon

atamkanda nao unakwenda unawakilisha neon kama hutaki kung'ara sana


wale wa dress

5 comments:

Anonymous said...

yaani hiyo suruali naipenda ilivyokukaa,u look gud ngoja nikatafute yangu lol...

Mdau Norway said...

rangi nzuri ila inawaka sana labda kwa usiku inanoga zaidi

Anonymous said...

kucha.ndio urembo wa mwanamke.kumpamba mikono kwani yako waiachaga michafu?

JALUX'S FASHIONS said...

asante doll nenda mumy.duka la salt ndio niliinunua hope utaikuta japo nilinunua last yrs kama upo bongo basi nenda kwa kiki fashion utokosa

Anonymous said...

Bla bla bla bla bla bla!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...