Mar 2, 2012

GOOD JOB MARTIN


 SPEECHLESS ,YANI HII PICHA NI BEST OF THE BEST MPANGILIO WA RANGI
                       NI MZURI UNAVUTIA ALIE DESIGN NI  MARTIN KADINDA
MWENYE COAT LA GREEN ,GUYS WEMA IS SO ADORABLE! U SEE THOSE
                                            SUEDE HEELS COLOR COMBO.!

6 comments:

kokusimah said...

Ebwana dogo yuko feet. Juu sana.

mamaloshi said...

wamependeza jamnani nampenda wema yani kila nguo inampendeza ana damu ya nguo.

JALUX'S FASHIONS said...

wema ana damu ya nguo huyu ,martin angepaka makeup angependeza zaidi uso umeng'aa mno

Anonymous said...

shangingi wema hiloooo...haloooo

Anonymous said...

Wema utasema kuku huo mguu mkorongo

Anonymous said...

huyu wema kaiba mume wa m2 siri imefichukajeee,gari kuleee...

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...