yangu ilikuwa poa na Familia yangu.
As you know kwa sasa colorfull out fits ndio zinahits tangu last yr summer mpaka sasa
i got mine when i was in Tanzania let's share it
I wore a black min skirt from Topshop ,with yellow vest from H &M,with matching belt,
, Gold peal nakelace and long earrings, combined the sexy luk with a pair of nude heels pump
from Aldo .
XOXO
8 comments:
umemiss maneno yetu eeh sasa acha nianze kukuchachafya viatu vizuri,nywele sio mbaya vile,hayo mengine ni mmmh ila hujachukiza
ahahha hizi colorblock sasa balaa nimebaki mie tu haya mama tumekuona umependeza ila viatuzzz ni 99% nimekupa kwa leo
Safi wangu umepende
nimependa sidilia tuuuuuu
Umependeza na colorblock sema makeup haikukaa poa
Lol yani nisipo kupa sifa nitaonekana mnafki pendeza
Tilia manani vifuatavyo WANJA huwa huupaki vile inatakiwa, MAKE UP HASA HASA JUU YA MACHO pia huitendei haki yani wakati mwingine duh inakuwa sio kbs,SIDILIA ila hapa imeijulia sio kuvaa tu inatakiwa ifanye kazi yake yani inyanyue iyo kitu sasa ukivaa afu kitu bado haijanyanyuka kwakweli haileti maana. NI HAYO TU
Umependeza sana, uko cute mwaaaaaaaaaa
Post a Comment