Feb 13, 2012

KUMBE SOLANGE ANAUTEGE

kitu ambacho sikuwahi notice kutoka kwa solange, ila leo ndio nimekiona matege.  anaonekana cool na matege yake hayaja mchukiza.I luv her color combo haswa iyo njano mguuni haya wale walioipenda inapatikana Gina Tricot wana color combo za kumwaga kr yako tu.
                                                                  XOXO

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...