Feb 28, 2012

BOOK LOOK -THE BRAXTON'S

 Kama mnamkumbuka mwanamuziki Tony braxton, anadada zake watano walianzisha reality show inaitwa The braxton Family Value.The braxton walialikwa kwenye talk show ya Wendy last week,mama mia check their out fits so adorable and the viatuz fabulaous.
 Naona kama walikuwa na heavy makeup mpaka wanalose ile natural look



Tamar nailed it ,those heels- less shoez,hili gown nililiona duka flan hivyi nitwapa infor.
sema parefuu labda ndio nianze dunduliza kibubu lol

Toni Braxton

TOWANDA

TRACIA

Trina mwenye red gown anataka kuwa kama Ashanti

miss E na Wendy

At the show
Toni miguu kama muke ya murundi lol

kwao wote ni miguu minene kama watoto wa mama dany lmao
cheki na hawa so beautiful kimini kimetendewa haki.

6 comments:

sweetie gal jackie said...

dada zangu nyie warembo hakunaga wajaluo wabaya

Anonymous said...

kwa miguu nakubalisana tuuu,hata sura ni sawa ila kuna wajaluo waliokataa wewe,wa kikenya umewaonaaaa..

Anonymous said...

joce white said...
lol wamependeza sana hawa wadada ulaya hakunaga jua jamani watu manawaka na rangi zenu.

mamaloshi said...

hahahhahhah tunamshukuru mungu mna nadhani pangechimbika upande huu.

Anonymous said...

seriously toni braxton yaaani utasema yai ngozi yake yani anaonekana bado mbichi kama ndo miaka 15...jamani kumbe loh watoto 3 na nyundo za kutosha!!!wallah ulaya ukiwanazo huzeeki!

kokusimah said...

Hivi wakikataa wanafanya nini?? Wanamwambia Mungu Mimi sitaki hiki au?? Waswahili bwana mnamambo.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...