Feb 14, 2012

ASHANTI @MERCEDES-BENZ FASHION

Ashanti ameacha headlines alipo attend na kigauni chake matata katika New York fashion week ambayo bado inaendelea  huko Usa ,alivaa Nude dress at the Falgani and shane peacock.
                  kilichomwacha wazi kwenye nyeti zake kwa nyuma na mbele lol.


kivazi hivi kipo sexy wala hakiitaji AC upepo unapita tu Lmao.
 i luv her makeup,long false black eyelashes, with red lipstic.
sexylicious

2 comments:

Anonymous said...

sooo cuteee ..

Anonymous said...

Yap kama mdoli vile

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...