Yap nimekuwa sasa 2yrs naweza fanya shopping yangu mwenyewe msinishangae
nauwezo wa kumfanya mamayangu afurahi na kucheka
namwonyesha hisia zangu jinsi gani navyompenda
anapenda kucheza na mimi kila apatapo mda i luv her
baba yangu ananipenda sana sema anasema mimi mtundu sana
nilipotimiza miaka 2 wazazi wangu walinipongeza kwa kuwa mkubwa
tukutane next time niwaambie ilikuwaje
ciao
8 comments:
impressive story ,hongera unamtoto mzuri
jamani umenifanya namimi niongeze bidii ya kutafuta mtoto so lovely n sweetie mungu akukuzie
Safi baby Brandon, juzi nkapiga nimwimbie nkabulia umepunfuza fujo Haya mpe happy baleted zake. Luv and mic him sana.
Simahmama D
lol pole mumy nimebadili no nitakutumia mpya mwambie D namzigo wake nikipata mda nitamcheki
we luv u too
Si neno mama, nsha mwambia kasubiri sana. Ok wangu uta no-inbox.
Mama D
maneno hayo hasemi mwanao usimfundishe mtoto udaku mapema kama wewe.
Hapo juu WIVU.COM
HAHAHHAHHA TUONYESHA MWANAO ASIYEKUWA NA UDAKU WALEWALE ROHO ZAKWANINI.?HONGERA MWANAO MZURI MUNGU AWKUZIE.
Post a Comment