Hey guys nilipotea kwa mda kidogo nilikuwa busy,. mana ilikuwa week yangu ya mwisho ya kurudi sweden, mambo mengi yaliingiliana,ila kwa sasa holiday imekwísha nimerudi salama nitakuwa na update blog daily.stay tuned .
hivi ndivyo nilivyo gain weight with 5 weeks!
NAWATAKIA W-END NJEMA
CIAO