Nov 5, 2011

JE KUPIGWA NA MPENZIO NI KIPIMO CHA MAPENZI?

week hii Wema ametoa mpya baada ya kugombana na mpenziwe Diamond na mwishowe wakaishia kupigana na wema kupigwa kama picha inavyojionyesha!
 Cha ajabu bishost hakulalamika juu ya hilo, kaona ya kwamba hiko ni kipimo cha mapenzi kwamba baby yake anampenda! asingempenda asingeangaika kumpiga! 

Je wewe unalionaje hili kipigo ndio mapenzi? yani unauguza vidonda yeye katulia sasa mapenzi yapo wapi hapo. mitafarakano kwenye mapenzi ni vitu vya kawaida,kunanjia nyingi za kumwadhibu mtu ila sio kwa kipigo kama hicho,wasanii wetu mnapotosha jamii na kuchochea wanaume kuwapiga
wanawake na kuona n jambo la kawaida  linalokubaliwa na wanawake wenyewe ,hizo
ni fikra potofu.

Wema Sepetu kabla ajapigwa


4 comments:

Anonymous said...

Sio mzima huyo anapenda pashau

Anonymous said...

tukuulize wewe ambeye kila kukicha unakula kichapo bi kinyonyokeeeee

Anonymous said...

Wema kwani hamjuu anapenda magazeti mno hana tofauti na paris hilton japo kuwa mwemzake kapumzika siku hizi

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...