Dec 15, 2010

LADY GAGA WANT TO BE A TEACHER

Lady Gaga apparently applied for a job.teaching fashion and art at a New york University.hii ni habari nzuri kwa wale wanaopenda style zake za nguo.manani za pekee.aliomba nafasi ya kuwa collage lecturer,ingawa hajapewa majibu toka kwenye hiko chuo.Anataka aonyeshe ulimwengu vipaji vyake ukiachia
muziki.she got fashion sense,na ukiweka na nywelez anavyo design naona chuo kitajaa wanafunzi.tusubiri majibu ya maombi yake tuone.
                                                              


MTV VMAs 2009 ALIVAA HIVI.ALIPOCHUKUA AWARD YA FEMALE BEST ARTIST

BRASSIER NA SKIRT .
                                                 

GAGA ANADESIGN NGUO MWENYEWE .



MTV VIDEO MUSIC AWARD  2010 GAGA ALIVAA NYAMA ,ILIYODESIGN  KWA MFANO WA GAUNI..

FROG DOLL DRESS KWELI HUYU ANAFASHION SENSE HADI CHURA ,NO ONE LIKE GAGA

THAT GAGA KICHUPI ,KIKOTI , BLACK HAT NA TRAVOTAR CHEZEA GAGA WEWE.




                                                                                                                             
  

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...