Tyra banks ametoa kitabu kinaitwa ```Modelland`` kilichomgharimu mda wa miaka mitano kukiandaa akiwa kwenye library tofauti tofauti kwenye mji wa new york.
Novel ya Modelland inahusu urembo ,story ya binti aliealikwa kuattend an ellite modeling school ambayo inaitwa Modelland na mengi yakamkutia humo.kitabu hasa kina empower young girl's,wapenzi wa Novel mpo kazi kwenu naona kitakuwa kizuri mana kimepikwa miaka 5!
1 comment:
NIMEPENDA ALIVOVAA HASA HAKO KASURUALI KALIVOBANA VIZURI MIGUUNI
Post a Comment