Sep 7, 2011

WHITE PARTY STOCKHOLM 2011

GOWJAS BELLA







NIMEIPENDA HII PICHA KIFAMILIA


NYUPI NA MREMBO WAMEPEMDEZA

                                          



CUTE PENDO PENDEZA








WAPENDWA PARTY NI WHITE SIO MCHANGANYO WA RANGI BONGO HAWA WANGELIPISHWA ZAIDI YA KIINGILIO

8 comments:

Anonymous said...

kuwa straight kwenye last picture. fungua mabano

Anonymous said...

hahahhahah yani watu waga hawakosekanagi kuharibu rangi .sijui waseme lugha gani ili waelewe mmm ila waliojali rangi walipendeza sana tujifunze wenzangu na mimi.

JALUX'S FASHIONS said...

kuwa straight kwenye last picture. fungua mabano.

MY DEAR MBONA PICHA INAJIONYESHA WAMEVAA MCHANGANYIKO AU STRAIGHT YA WAPI TENA?

Anonymous said...

upendo hiyo make yapo embu tupe wink yake

Anonymous said...

jamani mbn last 4to wamejitaidi anagalau nyeupe ipo.. kuna waliova............

Anonymous said...

mwanga ww rangi kitu gani wivu tu utasonyaaaaaaaa taratibu

Anonymous said...

mwanga ww rangi kitu gani wivu tu utasonyaaaaaaaa taratibu

tettete utajibebaje habari ndio hiyo take pill chill

rose said...

watu mnapenda maneno maneno sasa hapo mmeona picha ya hao wazungu tu ndio mnamsaka hivyo kiukweli si wamechanganya rangi sasa mara wivu mara mchawi yanini au wewe ulieandika nawe ulikuwa mingoni mwa hao wachanganya rangi ngggggggggggg mnaboa sasa badilisheni topic mnaacha wapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar mnaleta udaku udaku tuu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...