Aug 30, 2011

ZOE SALDANA MISS AVATAR



Zoe saldana ni American Actress ambae anaasilia ya kiafrica na latin.mwanadada huyu mwenye umri wa miaka 33



.movies zilizompa umarufu pirates of caribean,Avatar,the cruise of the black peal.
zoe alipoact kwenye avatar alikuwa anafanania hivyo kama mnyama flani ivi na alikuwa anatumia jina la Neytiri.

 avatar aliiact vizuri sana kama hujawahi iona itafute uione


binafsi nampenda sana huyu dada anajua kuact na kwenye red carpet huwa anapendeza.



                               
                                        
                                
                                                                             

zoe vazi la gauni ni sehemu kubwa ya vazi lake kuu ndio mana picha zake nyingi kavaa magauni tu.


                                      
                                   


 anafaa kuwa model mwili wake unamruhusu
                          


 

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...