Aug 3, 2011

JE KUNARANGI SPECIAL ZA NYWELE AU ZOZOTE ZINAFAA?

Katika style nyingi za nywele warembo wengi wanapenda kuzipaka rangi tofauti tofauti.kuna nyeusi,nyekundu ,blonde,purple,brown na nyinginezo.ila swala la kupaka rangi nywele inabidi mwanamke uwe na staha mana wengine wanapaka rangi za ajabu kiasi cha kwamba watu wanashindwa kukuelewa umepaka vitu gani na upo mazingira gani?kama mwanamziki ukawa stage fine utataka ounekana tofauti sasa unaenda kwenye party kweli unapaka hivi.

actress Jackline Wolper kapaka rangi za bendera ya Tanzania,binafsi naona kachukiza,je wewe unamwonaje ?

11 comments:

Anonymous said...

HUYU DADA KWENYE SWALA LA MAVAZI NA MITINDO KWA UJUMLA NI WAKUBAHATISHA. NI KWELI WANADAI UKIWA MSANII UNATAKIWA KUWA TOFAUTI NA MBUNIFU ILA KWA HUYU MI SIMUELEWI HATA KDG SIJUI NI KUKURUPUKA AU NDO KUTAKA KUWA GAGA

Anonymous said...

siku 1 ungejaribu nawewe kuweka basi mana kaweka mwenzio kachukiza sasa weka wewe tuone itakuwaje.

Anonymous said...

My dear hapo juu mimi siwezi paka rangi za ajabu kichwa changu, pili mie sio celebrity so nitazidi onekana waajabu, na hapa ni uhuru wa kuongea mtu akipendeza anasifiwa akikosea anambiwa mana usitegemee sifa bia kasoro.
Mumy b

Anonymous said...

Haaaa. Yani ww unakaa kabis. Unamsifu mwenzako kapendeza na hizo rangi nyie ndio wae mnaosifia watu face book umpendeza wakati mu kachukiza mpka aibu

Anonymous said...

Mungu ibariki tanzania dumisha uhuru na umoja tete bendera inapandishwa du izo nywele

Anonymous said...

huyu huwa hajielewi ana mcharuko 2 wa atakavyo anaiga vibweka vya mastaa wa nje,huo kichwani ni uchafu kabisaaa.anapendeza akiweka nyeusi c marangi mengine.

Anonymous said...

chuki na wivu ndo vilivyotawala amjui fashion ndomana jalibuni kubuni na zenu tuwaone wenzenu wakivaa wamechusha nyie ndo mmpendeza mpeni sifa zenu tatizo amjui fashion zinazoendelea kwa wakati huu

Anonymous said...

mmmh huyu mgeni humu au vp mana chuki ya nini kwani kunamtu anashare na bwana mpaka awekewe chuki tupishe sie hii ni free of eords atawewe ukitaka tuma lipicha lako tulijadili punda wewe mwenyechuki kama shetani kwanza kakuita nani humu msonyoooo

Anonymous said...

jamani sio ords ni words .

Anonymous said...

ndio tatizo la wabongo wanapenda!sifa tu kupewa ukweli hamtaki sas hapo kadisgn nini .alafu mkipewa ukweli mnakimbilia chuki hovyo

Anonymous said...

hahhahahahhah nimecheka sana ndo wale wale hawajijui wavaaje?wajipambaje?wanavaaa tu ovyoovyo staili.then ana mwambia rafikie ni comment nimependeza.hapa ukweli tu utaki andamana. bi dada hata hajapendeza.ukweli unauma.lakini ndo hivyo.tettetettet

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...