N
imda mrefu umepita tangu ugly Betty iliposimamishwa,watu wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumwona tena betty ila swali kubwa lilikuja tutamwona tena wapi?ila jibu limekuja ataonekana kwenye movie itwayo End of the watch ambayo ameact kama polisi.
betty hapo yupo serious na kazi yake ule umapepe wa kwenye ugly betty ameweka pembeni!
No comments:
Post a Comment