Jun 22, 2011

FASHION INSPIRED GIRLS

                                     
Heels za rangi mbili au zaidi zipo on fashion now,wale wapenzi wa window shop kama mie mkiitaji zipo zara na bianco japo kuwa zina bei kidogo!ila zinakufanya ushine na uweze zivalia nguo yoyote.

1 comment:

Anonymous said...

mwenzangu jalux hivyo viatu mbona bei vile mmh mie nitakula kwa macho au nivizie rea

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...