Mwanamke urembo,wadada wametoka kwenye matangazo ya hereni za Tiffany Chanell
hereni za huyu designer zipo simple na stylish katumia material asilia kama manyoa ya tausi na,mmbao zimekaa kidogo tofauti na hereni nyingine. last week niliongelea swala la kutinda nyusi waone hawa warembo wananvyo vutia na nyusi zao.
kama hizi za bara la africa ni nzuri.
akamatch na lipstic kabisa
hizi ndio best kuliko zote,
3 comments:
damn those chics are hot
jalux tumemiss fashionbomb shell mbona ujaweka siku nyingi pls post it
nimejaribu kutinda nyusi nimezitoa zote sina hamu
Post a Comment