May 12, 2011

TERREL MJ MREMBO ALIEZALIWA LEO 12MAY

                                       
Terrel Mj -cute huyu leo ndio ilikuwa siku aliyozaliwa mzuri kama malaika .
                                               

 makeup zake kama kazaliwa nazo usoni so adorable

                       
  Terrel ni mmoja kati ya wadada wakitanzania anaejali fashion, kujipenda,nikimanisha hair do, face na body, mrembo lazima ajali mwili wake asinenepe mpaka kupitiliza,kwenye nywele unajionea mwenyewe zinavyo vutia .

3 comments:

grace malmö said...

mmh ivi huyu dada waga ni mchanganyiko wa mwafrica na mzungu au ni mie tu macho yangu

Anonymous said...

huyu dada yupo juu mno

Anonymous said...

MMEMUONA AKITOKA KUAMKA??????????? BELIEVE me wanawake wooooooooooooooooooote ni wazuri wakijijali tena sn sn sn wote mtasema MMESHUSHWA nyie ndo pambo la dunia ila hamjiamini na hamuambiani ukweli. Mwenzio hajapendeza wanja umepinda,gauni au sketi haijamkaa nywele utata humwambii tena unamwambia kapendeza she will kip on wearing it so kila siku ye ki2ko. Mkiambiana ukweli i swear mtaona uzuri wenu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...