TYRA BANKS APUNGUZA MOJA YA MAJINA YAKE!!!
Tyra banks alijitangaza last week kwenye show ya Ellen Degeners kwamba ameamua kudrop jinalake moja baada ya kuitwa TYRA BANKS anataka aitweTtrya tu,kwa madai banks inaleta jina kuwa refu.na sasa Trya ameamua kurudi collage na anasomea Education program.
1 comment:
bi dadada anajiami pande zte big up mamito
Post a Comment