Mar 16, 2011

LETOYA'S 30TH BIRTHDAY LOOK

Letoya amefikisha 30yrs week hii ,alicelebrity na rafiki zake ,katika yote alinivutia outfits zake.zipo simple,alivaa cut out red dress ambayo mgongoni zip imetoka kwa nje yani exposed zipper,lol hii style nilishaionaga kwenye window shoping zangu nikauliza mbona mmesahau zipu inaonekana kwa njee nikaambiwa dada hiyo style kweli tembea uone.                      



                                             
I tkink this is gorgeous for letoya,nimependa nywele zake kama curls na iyo pop
 lipstic sasa zipu ndio hiyo mgongoni unaiona ndani nje hiyo.

                                    
Keri lowland ni wa majeans kwa sana yanamtoa kidada ,brandy tatoo ya mguu nzuri

                                                     


                                               

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...