Mar 9, 2011
TWAA WATOA AWARDS SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Irene kiwia ni mwanzilishi wa Tanzania Woman of Archvement Awards ndio aliekuwa anagawa tunzo hizo,washiriki walikuwa ni wataaluma mbalimbali wapo madesigner,watangazaji wa radio na Tv,wafanya kazi wa makampuni mbalimbali ya afya,science,sanaa na mengineo.
Tunzo zao zilifanana hivyo
Mwammvita Makamba alibahatika shinda tunzo ni mwanamke anaetoa kipaumbele kwa misaada kupitia Voda foundation kwa kweli alistahili kushinda huyu dada mana kila maafa yupo na kutoa misaada mingine.
Khadija Mwanamboka nae alishinda tunzo ya social welfare
Tuzo ya Mawasiliano na habari ailikwenda kwa Ananilea .Nilitegemea tunzo ya habari ( mtangazaji wa radio mwanamke ingeenda kwa Dina Marious) ila haikuwa hivyo usikate tamaa utapata siku nyingine Dina
unafanya kazi nzuri .
Shamimu nae alikuwepo nimelipenda gauni lake rangi nzuri ya blue.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
walipendeza wte mungu awajalie kama hamjapata mwakani mtapata
dina kiukweli angepewa yani sema wamembania wanaleta za kujuana mno ,dina kipindi chake ni kizuri na anafanya kazi kubwa mno kwa jamii ya tanzania.ila jipe moyo mama utaipata next time na kama vp wawe wanatuwekea tupige kura wananchi sie wenywewe
Post a Comment