Mar 4, 2011

NUDES SHOES

Nudes za kila rangi zimenakshiwa kwa material tofauti kuna laced,chained strapped in booties.chaguo lako hapo,hiki kiatu ukijikwaa lazima uanguke huu urefu ,design by Iris Van.


                                     

1 comment:

mashauzi said...

Jamani hivyo viatu ni vizuri ila virefu sana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...