Mar 7, 2011

JE PINK LIPSTIC INASHERIA ZAKE?

Pink lipstick inakuja kwa kasi on fashions kwa sasa.ila nashindwa kuelewa kunawengine inawapendeza wengine inawachukiza,sasa sijaju inaendana na make up unayopaka au laah?wenye maujanja tuambizane kuliko tukaipaka tukaonekana vituko.

                                              


                                       

                                               
                                                  

                                    

2 comments:

pam algeria said...

pink lipstic kuna za mpauko,cool pink,,punch pink hapa sasa unapaka kuendana na rangi yako haswa hii ya pink mpauko ndio wengi wanachukiza.
mdazamo wangu huu

Anonymous said...

hahhahah ni kweli ni fashion tunapakaa tu lakini sio wote tunapendeza mimi napenda lakini walinishauri niache sipendezi nikachoka kabisa.nimeacha so nasikilizaga mawazo ya watu .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...