Wafanya biashara wadogo wadogo wa zanzibar wameamua kumtolea uvivu mkurugenzi wa manispaa ya unguja maalimu Rashid Ali Juma.mkurugenzi huyu alitoa tamko la wafanya biashara hao wahamishwe sehemu waliokuwa wanafanyia biashara eneo la Darajani huko unguja,baada ya kauli hiyo alivamiwa na watu wasio julikana na kumwagiwa tindikali usoni na kuumunguza kama picha inavyoonekana.
akiwa amelazwa hospital na majeraa usoni.
Makamu wa Rais Dr Mohamed Gharib alienda mtembelea katika Hospitali ya Aga Ghan .
Selikali yetu haiwajali wafanya biashara wadogo wadogo kila siku,sasa unawaambia wahame bila kuwatafutia sehemu ya kufanyia biashara zao mnakuwa mnategemea nini?sasa leo tindikali kesho kitakuwa kifo. Tanzania kujali raia wake ni swala gumu sana.sasa kwa mwendo huu tuafika kweli .
No comments:
Post a Comment