Feb 14, 2011

NICK MINAJ HITS GRAMMY AWARD

 Rapper Nick Minaj jana alihits red carpet at grammy award na animal print kuanzia kichwani hadi unyayoni yani ni balaa kamnyuka mnyama ilivyo,naona ni gawn na leggings ndio alivaa na viatu vya mchui chui  outfits zake from Givenchy.                                              

                                         nicki minaj grammys 02
                                    Nick Minaj- grammy award na kivazi chake


              
                                    nicki minaj grammys 03
 Mana kwa mbali unaweza sema chui  mnyama kweli vile ila anamiguu ya binadamu.

2 comments:

Anonymous said...

lol animal print haipendezi mwili mzima inshort big nej hapo

Anonymous said...

mmmh

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...