SHAMIMU aliupokea mwaka mpya 2011na one shoulder .nampenda huyu dada mavazi yake nadhifu
Mange na animal print one shoulder
black velve ya one sholder
min animal print luk fab..
Bijoux mix black n red pendeza
Jokate nae one shoulder haikumpita.
Penny na jump suit ya one shoulder luv her fashion sense.
one shoulder mix ya white n blue.
ONE SHOULDER ZA HOLLYWOOD NAZO
Rihanna.
Kim ,one shoulder yake kaiva na red cheetah.
Jlo akiwa na Asos curve one shoulder
1 comment:
e mamajalux kutuletea mambo mbalimbali yakujifunza kuvaa na jinsi maumbo yetu yalivyo sio rhihana kavaa bai na sisi tunaiga.inabidi tuige kifasaha asante
Post a Comment