Jan 5, 2011
IBM LONDON
Frank gonga na Terrel yori yori wake.
velvet ilikuwepo.
Hair do nzuri.
one shoulder nayohaikukosa.
kapochi hako kazuri.
Sequin kama kawaida nae alivaliwa.
seguin imevaliwa nalace top hapa.
wapili toka kulia kavaa sequin ya gauni.
nimependa alivyochora jicho na eye liner,nyau style.
Zaomba black beuty.
wadada full shangwe.
i luv their viatuz.
London wana lil wayne wa kibongo huyo kati.
kivazi kingine cha one shoulder hicho .
kigauni cha one shoulder kipo sexy, rangi ya huyu dada imenikosha sana black beuty.
shost kasuka rihanna style hair do.
ulikuwa ni mwendo wa vimini na high heels.
lil wayne wa bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.TUNANGHOJA SWEDEN MASHAUZI YAO MANA LONDAN TAYARI DAR TAYARI KAZI KWAO WANAOPENDA MAKUBWA HALOOOOOOOOOOOOOO MAMAJALUX UTUWEKEE PICHA TUJE TUONE
Post a Comment