Brad,angelina and their kids spend christmas in Namibia.siku mbili kabla yachristmas waliwasili Namibia,kusherekea pamoja na wazazi wa mtoto wao wa mwisho,waliomwadapted toka namibia.iluv this couple,ni watu wakujitolea sana kwenye jamii.mwaka huu walitoa msaada mkubwa wa pesa kwenye maafa ya Haiti.nifamilia yenye watoto sita.watatu niwa kuwazaa wao,na watatu ni wa adaption,toka Africa na asia.
brad pitt,angelina na watoto wao wakina wanasafiri.
angelina akiwa na mwanae zahara toka ethiopia.
angelina na mmoja wa mapacha wake knox.
brad pitt n angelina walivyoenda haiti kutoa misada.
actress angelina na mmewe brad ,aka angebrad.i luv the couple.
No comments:
Post a Comment