Nov 23, 2010

JALUX BLOG INAWAKARIBISHA WADAU WOTE.

Hellow  wanablog karibuni ,jalux blog ya jamiii itakayo kuwa inazungumzia maswala ya fashion,habari
za ulimwengu ,na miziki mbalimbali ya africa,ulaya america na asia.na pia jalux blog itakuwa inazungumzia maisha kiujumla ya macelebrity na watu wa kawaida .mnakaribishwa sana jalux blog mjisikie huru nayo na kupost idear zenu na wenye kuomba ushauri mwakaribishwa.

6 comments:

Anonymous said...

wapiiiii mmechemsha 000000000000000000000000

rose said...

Hongera mumy kila lakher mafans tu umetupata ila tunahope utaimprove
na blog.

JALUX'S FASHIONS said...

thanks rose

Meems said...

Hongera mumy safi sn ,umejitaidi sn.natumaini itazidi kuwa nzuri.zidi kutupa news na mitindo mbalimbali.

JALUX'S FASHIONS said...

bila shaka meems hapa utapata yote hayo wewe uwe unapita tu humu kila siku utapata kitu roho inapenda.

Anonymous said...

wapiiiii mmechemsha 000000000000000000000000

hahaha uwo wivu yakwako iko wapi?
msonyoooooooooooooooo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...