Aug 30, 2012

TRIP TO MY OLD TOWN GÖTEBORG

W-end moja ivi niliamua kuimalizia Göteborg
 hapo nilikuwa tayari kwa safari ,Novel plus computer hakuna kuboeka
Baby ya murundi travel with style.
  
Yellow n black nice mixing
 
My hubby  alinisindikiza alikuwa na uzuni kama nitakaa mwaka
luv u baby.
 
nilinunaje walipotangaza tunainza safari!na kumwacha
my murundi
 
safari ikaanza
 
Finaly nikafika. nikaenda home party direct.
Wajaluo Team ikakamilika jamani huko wajaluo wengi soon tutafungua Obama village lolest.
xoxox
 

4 comments:

Anonymous said...

Haya sasa wakina wale wameumbuka

Anonymous said...

mlipendeza wajaluo naona family reunion hahah

tabata. said...

Inapendeza sana .mkikutana .wajaluo mara .moja .kwa.mwaka .@mbatikiwe @wawaache.wajaluo.miaka 1000.mbarikiwe .

zamaradi said...

Mlipendeza sana .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...