Aug 28, 2012

MY KUZIN NORAH SEND OFF.....

My little dada
Norah na wifie
Hakuna ubishi wajaluo warembo bana
i luv the deco
Yum yum ilipambwa na roses i cant imagine nimeimiss hii harusi
 
My mjomba akipokea cake huyo ndio kaka wa Mama yangu
Norah alimpa dady zawadi ya Ipad na my mjomba alimjibu utaamu
 
 
Here we go baby
Mana ilikuwa kama my super sweet16 dady katoa funguo ya gari wooow her new ride wajaluo juu
 
Mwaah thanks mumy !Norah na mama yake
wakatikati ni Johnson ndio kaka wake Norah na wakulia nikuzin Osango
mjomba ni noma!kaka yake norah alipooa nae alilamba gariii
Njenje live
 
My kuzin alikuwa suprise aliposikia nimekuwa baby ya Murundi sasa na yeye amekuwa Muke ya
Emmanuel live welcome to Luo family bwashemeji.
''Baby hii ndio chakula yetu wajaluo usiogope lolest!My shem utazoea my Murundi nae alikuwa
ivo ivo
My wiii  muke ya Mujaluo (mke wa Johnson kaka yake Norah)
HII SIKU NORAH ALIPO HALALISHWA KUWA MUKE YA EMMANUEL
STAY TUNED KWA PICHA ZA HARUSI
XOXO
 

4 comments:

Anonymous said...

Walipendeza .sana.mwaka.huu .wajaluo .ndoa zimetawala @ mungu awajalie maisha mema .

JALUX'S FASHIONS said...

Amina my dear umeonna wajaluo juu

Anonymous said...

Thanks sister mlimic sije? na nimewamic ile mbaya I love u all

Anonymous said...

Tunangja .ya muke wa murundi .@na muke wa noeli @Nancy.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...