Dec 7, 2011

FASHION DISCUSSION:JE UNAPO VAA KHERENI NDEFU KUNAUMUHIMU WA KUVAA NAKELACE(MKUFU)

Hey guys leo tulijadili hili swala la khereni ndefu!kuna watu wengi nilishawaona wakivaa khereni(earrings)ndefu huwa hawavai mifuku shingoni kwa mana itakufanya uonekane vibaya je wewe unalionaje hili?


qeen latifa kalifahamu hilo jumpsuits yake kavalia khereni ndefu bila mkufu







mpaka hapa naona tushaona ukweli upo wapi haina haja na mkufu ukiwa umevaa khereni ndefu picha zimejieleza zaidi kama ulikuwa na na kamchezo ka kuvaa kwa pamoja acha vaa khereni peke yake unoge zaidi
nakaribisha maoni yako!

PATA MWONEKANO BORA TOKA JALUX KATIKA HOLIDAY

JUMPSUITS YA BLACK N WHITE, LEORPARD CLUTCH INAKARANGI IKUFANYE UNG'ARE ZAIDI ,BLAZER YA VELVET ,BUTTON EARINGS,3TONE PUMPS,UKAPATA RED LIPS NA UKAMALIZIA UNYUNYU YSL WA UKWELI HAPO UPO TAYARI KWA SHEREHE ZA MWISHO WA MWAKA XMASS-NEW YR ........

HAPPY BELATED BIRTHDAY LINDA MIAMOR

HONGERA MIAMOR MUNGU AKUZIDISHIE MIAKA 100 ZAIDI .

Dec 6, 2011

SWAGG 3 KWA USIKU MMOJA AMETISHAA FLAVY

FLAVY BALOZI WA RED RIBBON FASHION GALA ALIVAA MAGAUNI 3 KWA USIKU MMOJA ,NILIPENDA ALIVYOVAA NGUO  TOFAUTI NI KICELEBITY ZAIDI KAMA MACELERITY WA HOLLYWOOD VILE KWENYE KUTANGAZA ALIVAA HII GREEN

GREEN WAS THE BEST


                                                RED CARPET KITU CHA MBURUZO


KIOFISI ZAIDI

WOLPER ALIHARIBU POSE ZOTE



                                  WOLPER ALIPENDEZA KWENYE HARUSI YA JACKIE CLIFF ILA SIKUELEWA UMUHIMU WA HIZO HEAD PHONE,SEHEMU KAMA HIYO NDIO SWAGG? 
                
UKITOA HIZO HEAD PHONE BILA SHAKA UNGENOGA ZAIDI MANA MAKE UP WAS OKEY,SHOEZ,ACCESSORIES.

                                                             

NICE VIDEOOO WENYE VIUNO VYAO WAPO WENGI

WOOOW NILIKUWA NAINGOJEA HII CLIP ,CASSIM ALIHOJIWA NA DINA MARIOS AKASEMA HUU MUZIKI UMEGHARIMU ZAIDI YA 10MIL TZ SHS KWENYE KUTENGENEZA VIDEO YAKE ,ILA DINA ALISHANGAA !AKAONA NI NYINGI AJIELEZI ZIMETUMIKA VP
ANGALIA VIDEO JE UNAIONAJE? HOPE ITAUZIKA ZAIDI ASIPATE HASA



CHEZA KIKUKU USICHEZE KIDUKU I LUV HIYO

MTOTO WA USWAZI NI USWAZI TUUU

Dec 5, 2011

FASHION DISCUSSION

Demi Lovato Dishes On Her Ideal Man
WAPENZI TUPEANE SOMO KIDOGO HAPO WEWE UNAONA STYLE YA HIKO KIATU KINAENDA NA HILO GAUNI?
MTAZAMO WANGU NAONA HAVIENDANI KAMA VIDOLE VIMECHOMZA SANA,KINGEFAA  KIATU CHA KUCHOMOZA VIDOLO2 VYA MBELE TU!
BILA KUKOSEA ANAGEVAA CHA KUFUNIKA KINGEONEKANA KAMA BOOTS ZA WINTER VILE SABABU GAUNI MBULUZO JE WEWE UNAONAJE?

HIVI VIATU NI NO COMMENT!

Dec 2, 2011

HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM

2TH DEC2011 NDIO BIRTHDAY YA CLOUDS FM TANGU IZALIWE MIAKA 12 ILIYOPITA,
BISHANGA, DOKII,DINA ,ZAMA.GEA HABIBU SHOST HUYU ANANIGUSA SANA KATIKA HEKA HEKA!

                                                                         CLOUDS FM 
RADIO BORA KULIKO ZOTE TANZANIA RADIO YA VIJANA KWA UJUMLA LEO

INASHEREKEA KWA STYLE YAKE IMEWAALIKA WANAMUZIKI ,WACHEZA MOVIES,VIONGOZI MBALIMBALI  KATIKA KUSHEREKEA
                                        IMERUSHWA LIVE KUPITIA CLOUDS TV.
                                        
                                
MAAKULI HAYAKUKOSA KATA KEKI TULE.

NIKIWA HOME LAZIMA NISIKIZE CLOUDS HASWA
1:HEKA HEKA,
CARIBEAN BEATS,
LEO TENA,
ALAZA ROHO,
JAAZI
NA KIPINDI CHA GEA HABIBU KILA JUMAPILI INGAWA NAKIMISS MARA NYINGI,APO NAHISI NIPO HOME BILA KUBOEKA I LUV CLOUDS FM


LOOK OF THE DAY SHAMIMU

R.I.P MR EBBO MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI


MWANAMZIKI ABEL MOTIKA a.ka.MR EBBO AMEFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI,ALIKUWA KWAO ARUSHA INASEMEKANA ALIKUWA AKIUMWA KWA MDA MREFU MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...