
Jun 23, 2011
Jun 22, 2011
FASHION INSPIRED GIRLS

Heels za rangi mbili au zaidi zipo on fashion now,wale wapenzi wa window shop kama mie mkiitaji zipo zara na bianco japo kuwa zina bei kidogo!ila zinakufanya ushine na uweze zivalia nguo yoyote.
FASHION IDEAS FOR WHITE PARTY OUTFIT!
i luv keri's pantsuit i think it would be lovely dress for white party itakayokuja tena this year soon in stockholm wale wa bongo walisha have fun last week.what's ur ideas baby girls out there!
KERI HILSON



HIVI NDILIVYO NILIVYO DRESS LAST YR WHITE PARTY MIXED NA GOLD COLOR.
Subscribe to:
Posts (Atom)