Jul 14, 2011

MWANAMKE WA KIAFRICA ANAMVUTO KUZIDI MZUNGU

                                
Kwaliosema black is beauty kweli hawakukosea,ukitazama hii picha  anaevutia na kung'a zaidi ni huyo dada mweusi kweli hii rangi inamvuto wa asilia ,ukikuta matangazo yamebandikwa barabarani ya chupi na brazia kavaa mweusi ndio utaona zaidi mvuto wake na hutositaa poteza dakika chache kushangaa ila ikiwa ya mzungu haikushtui unaona kawaida sana.

1 comment:

Anonymous said...

haina majotroooo mweusi sexy

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...