Jun 2, 2011

JE MPENZI WAKO HUWA ANAKUMBUKA SIKU YAKO YA KUZALIWA?

Birthday ni kitu cha muhimu kwenye maisha ya binadamu. japo kuwa kuna wengine huwa wanadharau na kuiona ni siku ya kawaida tu kwenye maisha yao.Mpenzi wako ndio mtu wa karibu zaidi  asiestahili kuisahau siku ya birthday yako,ingawa kunawanawake wengi na wanaume wapenzi zao huwa hawakumbuki siku za birthday zao so bad.
                                                            

mimi kwa upande wangu haijawahi tokea mme wangu kusahau birthday yangu, mara nyingi anapenda kununua zawadi nzuri ambayo huna nawish kuwa nayo ,akinisikia nasema nawish kitu kama pochi la LV au perfum au simu basi atajitahidi anitimizie ikiwa bado sijavipata kwa mda huo.
                                                           

kesho ndio birthday yangu nahamu kujua kaninunulia nini! lol.

Naikatokea mpenzio hakukumbuka birthday yako sio mbaya kwa mara moja ila kama ni kaiwa yake kila mwaka huo ni ubinafsi na hakujali hakuna kitu kinacholeta raha kama mpenzi wako anakwambia happy birthday to u atakama hana kazawadi lakini hilo neno lina mana kubwa tu na kuonyesha anakujali kwa namna moja au nyingine.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...