Momies tunatakiwa nasie tuwakumbuke watoto wetu kwenye swala la swagg as well,designer lanvin ametoa nguo za watoto nzuri mno japo kuwa ni bei ,ila kuna nguo za bei rahisi amambazo unaweza nunua na mwanao akafurahi ila kwa wale wanao jiweza ingie kwa lanvin mara moja kwa mwaka sio mbaya umfurahishe mwanao .
3 comments:
i real luv this dress i wish i could have a baby
jully unamambo bei ya lanvin si ya utani
hahhhha tushajizoelea h&m bei cheee lanvin ya nini
Post a Comment