SELITA EBANKS LUKS TERRIBLE WITH HER NEW HAIR DO
M
odel selita amebadili hair style from longblack hair to red short hair hii haimsuits kabisa .red hair zake zipo zipo tu,style ya nywele nyekundu amezianzisha riri naona wadada wengi nao wanaijaribu hii rangi ila sio wote inawapendeza kama mwenyewe rihanna,kama msanii jackie wolper wa bongo nae ameiweka ila haijampendeza kiukweli.
No comments:
Post a Comment