Jan 12, 2011

NAKAAYA GAIN WEIGHT

Mwanamziki Nakaya sumari ameongezeka unene.ameiharibu shape yake alikuwa na curve boby nzuri alipokuwa medium size.tizama hii video anavyo onekana sasa.mtazamo wangu mie naona wembaba unampendeza.

                              
                                 Kabla haja nenepa.

                           
                    hips hips ndani ya jeans enzi zake kamodel
 

                                                                          
                              
anavyo fanana sasaivi baada ya kunenepa,nimependa viatu vyake cut out boots
                                     
   hii ni video yake mpya.utaona vizuri alivyo ongeza kilo.anatatoo kama ya mary j.bridge,nakaaya a.k.a mary j.

2 comments:

Anonymous said...

KWAKWELI NIMEPENDA VIDEO YAKE SAFI SANA PIA KAPENDEZA SANA WENGINE MUIGE MFANO

Anonymous said...

mhh yani siamini kama ndio yeye kabadilika sana,hata hvyo hapendezi sana kama alivyo kuwa zaman

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...