Jan 10, 2011

15MACH 2011 FACE BOOK WILL BE SHUT DOWN

Face book will be shut down from 15march.jamani hii habari nilisoma sema nikadhani utani ila inazidi kuwa serious,baada ya mmiliki wa face book kusema kwamba anataka afunge face book sababu imekuwa na stress nyingi kwake,na akasema kama unapicha zako jitahidi zitoe kabla ya tarehe 15march mana inafungwa na hutaweza ingia tena kwenye account yako.hii sasa adhabu mana wengi wetu tumekuwa addicted na face book,na wengi waliipenda sana sababu ya kupata marafiki,na mawasiliano kuwa rahisi popote pale duniani.
wazazi wengi watakushuru face book ikifungwa naona,mana watoto kushinda kwenye face book bila kutaka shule wala kusoma.

                                
                       Mark zuckerberg 23yr.mmiliki wa face book ndio huyu.

Bwana mdogo huyu katulambisha asali, alafu anataka kutunyang'anya,nadhani atabadili maamuzi yake ya shut down face book hapo march 15 2011.na kama akisimamia msimamo wake huo huo basi tutarudi kwenye social network nyingine,my space,hi 5,twitter na skype,.jamani kama mtu hana hizo mda umefika wakufungua.

7 comments:

Anonymous said...

haha sasa umbea utaongelewa wapi jamani,na kurushana roho,kweli hii kali ila face book ilikuwa mwisho wa yote bana

Anonymous said...

mmmh ivi vidonda vya tumbo tena ,mie nasign in kila nusu saa nione status na comment walah nafwa mie,wasiifunge

Anonymous said...

hakuna lolote sio stress wala nini huyo bwana kazi ishamshinda mana kesha jiaptia pesa lukuku,ndio mana anajidai kuifunga

Anonymous said...

mamalosh umenivunja mbavu eti katulambisha asali alafu anatunyang'anya ,hilo nalo neno mana tulishaizoea nikienda lindex lazima nipige picha niweke face book leo nilikuwa shopping sasa wakiifunga itakuwa tabu sasa

Anonymous said...

hhahhah mie nilizoea kuwapa wambea vibomu vyao kupitia status,waombe ifungwe isipofungwa mwendo uleule chapa maji twende kazi

Anonymous said...

mjitahidi kabla ya kutoa habari muifanyie uchunguzi na si kupapuka kuandika habari zisizo na uhakika.

Anonymous said...

bibie rudi kasome tena naona hujaelewa na kama hukusikia hizi rummors habari ndio hiyo,unaishi hapa duniani au akhera

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...