Dec 13, 2010

JE UTAJUAJE SIZE YA BRASSIER YAKO?

Brassier ni kitu cha muhimu sana kwa mwanamke.leo nimeona tuongelee swala hili mana wanawake wengi,unakutana nao yani hadi unaomwenea uruma
amevaa nguo nzuri ila imeshindwa kumkaa vizuri sababu ya brassier,huenda sio size yake.mwanamke ata avae vazi la gharama kiasi gani,bila brassier  inayomtosha  hapendezi.
                                        
                                               
                                         
                        JE UTAJUAJE SIZE YA BRASSIER YAKO?
hili ndio swali kubwa inatakiwa ujiulize kabla ujanunua brassier ,watu wengi huwa wanajaribu,juu ya nguo nyingine,wakijua hapo ndio zishawatosha ila wakija vaa bila nguo matokeo yanakuwa tofauti.unapoenda nunua( sidiria) dukani au mtumbani wauzaji wengi wanakuwa na tape measure hizo kazi zake
ni kukupimia wewe mnunuaji,sasa basi mwambie muuzaji akupime ujue size
ya brassier yako ,atapima chini ya maziwa yako na atajua size gani inakutosha.unaponunua brassier chagua yenye kichuma cha round, kwa chini ndio nzuri kunyanyua maziwa na kuyaweka kwenye shape nzuri.
na kama unamaziwa makubwa epuka kuvaa brassier yenye masponge kwa ndani,yanafanya maziwa yaonekane makubwa zaidi.
          
hii ni picha tu haimanishi ukienda nunua mpaka uvue nguo ndio upimwe unaweza pimwa ukiwa umevaa nguo.
                                   

latifa anafuraha na kujiamini japo anamaziwa makubwa ila anajulia size yake ya brassier.
                                      
                                       
                 
                                    brassier za kukata.(strapless)
kwa wale wenye maziwa makubwa size ya qeen latifa haina haja ya kukata tamaa kwa kuto vaa nguo ya wazi ,size zenu zipo nenda dukani wakupime na utapata,utajiona free na nguo yako kuliko kuvalia brassier yenye mkanda kwenye nguo ya wazi.      

         ANAJIAMINI POPOTE PALE AENDAPO NA ANAFEEL COMFORTABLE.
                                             
                                                                                                      

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...