Dec 2, 2010

JE FACE BOOK INAUMUHIMU KWA JAMII ?

LEO NIMEONA NIZUNGUMZIE HII SOCIAL NETWORK SITE AMBAYO WATU WENGI KILA
NCHI DUNIANI HUPENDA JIUNGA NAYO NA KUWAKUTANISHA NA MAJAMAA ZAO
NDUGU ,MARAFIKI NA PIA HATA WENGI WAO HUJUANA PITIA HUMO FACE BOOK.
NI INAFAIDA KUBWA KWA KUKUTANISHA WATU WALIO POTEZANA KWA MDAMREFU
KURUDISHA MAWASILIANO ZAIDI,ILA PIA INAMADHARA MAKUBWA SANA MANA TUMESHA SIKIA HABARI NYINGI ZA NCHI MBALIMBALI JUU YA WATU KUPIGANA KUGOMBANA NA HATA WENGINE KUUWANA SABABU YA COMMENTS NA STATUS.
NAWATU KUANDIKIANA MANENO MACHAFU NA MAFUMBO YASIO NAMANA JAMANI
WATU BADILIKENI HIYO SIO SEHEMU YA VITA NA MALUMBANO ITUMIENI IPASAVYO
ILI IWAPE MANUFAA ZAIDI.

2 comments:

jullete said...

Fb nikweli kunawatu wanaitumia sivyo

Anonymous said...

nakubaliana na wewe jullete na nida wa watu kubadilika na kupeana mambo ya mana sio mafumbo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...