Ukiangalia hiyo picha ya Penny wa Diamond wakati yupo natural alikuwa mcute na anaonekana kabinti
Ila hiyo ya Pili baada ya kujipaka mikorogo amearibu ladha kabisa yani anatisha kabisa rangi haieleweki gals stay natural is more beauty ,uzuri sio mpaka weupe.
XOXO
No comments:
Post a Comment