Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amezindua vitambulisho vya taifa Leo ,sasa mtanzania atatambulika kupitia hiko kitambulisho.ila gharama za kulipia kitambulisho bado hazijajulikana !tuone Je wananchi wataweza kumudu au ndio itakuwa Kama story za ving'amuzi tuu!hongera mr president kwa Kazi nzuri .
No comments:
Post a Comment