Leo ilikuwa siku ya furaha kwetu kumkaribisha our new family member
baby loveness!
she is a sweetie Angel,Kichuna cha kijaluo Luv u baby¨
Masaa machache kabla hatuja mkaribisha our princes Loveness
Mumy alichukua last Memory sexy mama mpaka dakika ya mwisho
Making the decision to have a child - it's momentous.It is to decide forever to have your heart go walking outside your body.HONGERA NANCY A.k.a mumy Loveness
4 comments:
hongera sana nancy. nilituma comment four weeks ago kwamba utajifungua mtoto wa kike ,mrembo kama mama zake. MUNGU NI MWEMA POLE NA HONGERA,, NI KWELI YUKO CUTEEE .KAMA MAMA ZAKE . mary a.k.a kadogo tuko pamoja from bongo
asnte kadogo nikweli uliotea ukweli mtupu mana amekuja wakike salam zimefika
Mungu mkubwa.nakumbuka.hiyo.Picha ndonilikuwa mkali.asanteni.kwakunijali.bandugu.
Ur warm welcome My love tutakuja daima
Post a Comment