Aug 6, 2012
MACAULAY WA MOVIE YA ''HOME ALONE''AMEKUWA TEJA
Macaulay Culkin- 31Yrs old
H
ivi ndivyo anavyofanana Macaulay kwa sasa!
Macaulay 1992 alipoact Movie ya Home alone alikuwa
mzuri sana huyu kaka!
amekuwa na afya mbaya kutokana na matumizi ya madawa ya
kulevya.
Pesa zikiwa nyingi watu wanashindwa kujua wazitumie vp!
hapa ameshaua kipaji na washabiki washamkimbia!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment