Aug 1, 2012

LUNCH WITH MY BOYS SUM WHERE IN DAR


Mama nilidhani msosi umefika tunaaza mambo ya picha tena lol
Brandon kunywa soda msosi unakuja bana mwenzio
naimalizia ivoo
pose kwa pose
Final the food was there!mwanangu mpenda kebab bongo walimwenza
Losh ,Azonto boy yeye humtoi kwa pizza
Mimi nawali tuu

Nimeshiba ngoja niwaanzishie fujo na kiswahili changu kibovu watanikoma leo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...